Wed, 16 Aug 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Klabu ya Mtibwa Sugar kutoka Manungu Mkoani Morogorpo imetangaza kuwa kiingilio cha Mchezo wao dhidi ya Simba hapo kesho Alhamis Agosti 17 kiingilio chake kitakuwa ni Sh 12,000.
Klabu ya Mtibwa Sugar kutoka Manungu Mkoani Morogorpo imetangaza kuwa kiingilio cha Mchezo wao dhidi ya Simba hapo kesho Alhamis Agosti 17 kiingilio chake kitakuwa ni Sh 12,000. Mtibwa wanaikaribisha Simba SC katika mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: