Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kumuona Messi Uwanjani Kiingilio cha bei ya chini Milioni 1

Messi Bench.jpeg Kumuona Messi Uwanjani Kiingilio cha bei ya chini Milioni 1

Sun, 27 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Alfajiri ya Leo Klabu ya Inter Miami anayoichezea Staa Lionel Messi ilicheza mchezo wa Ligi Kuu ya Marekani dhidi ya New York Red Bulls.

Mchezo wa New York Red Bulls dhidi ya Inter Miami uliudhuriwa na mashabiki 26,276.

Tiketi ya bei rahisi zaidi iliyouzwa katika mchezo huo ilikuwa $480 (sawa na TSH 1,203,100)

Katika mechi hiyo Lionel Messi, alianza benchi na Mashabiki wa NY Red Bulls waliimba: “Tunamtaka Messi”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live