Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kumekucha! Simba washusha bonge la kiungo mkabaji

Kiungo Mpya Simba Kumekucha! Simba washusha bonge la kiungo mkabaji

Sat, 6 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba SC imekamilisha usajili wa Kiungo Babacar Sarr raia wa Senegal kama Mchezaji huru baada ya kuachana na Monastir ya Tunisia.

Klabu ya Simba SC imekamilisha usajili wa Kiungo Babacar Sarr raia wa Senegal kama Mchezaji huru baada ya kuachana na Monastir ya Tunisia. Kabla ya kuja Simba akiwa na Monastir walishiriki Arab Club Champions Cup na kucheza na Al Nassr mchezo ambao walifungwa mabao 4-1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live