Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kumbukumbu nyingine ya Klopp pale Anfield

Conor Bradley CC Kumbukumbu nyingine ya Klopp pale Anfield

Sun, 4 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hakuna shaka baada ya TAA, Klopp amefukua hazina nyingine ule upande wa kulia kupitia kijana wa miaka 20, Conor Bradley, ameipokea vizuri sana presha ya kum-replace Trent wakati yuko nje.

Ameonesha kujiamini, na utulivu uliozidi miaka yake, mechi kubwa ya Jana na Chelsea ameizima kama Veteran mwenye class yake kumbe ni kijana tu ambaye yuko kwenye form kwa sasa...

Amechangia mabao 5 kwenye mechi 2 za mwisho (Goli 1, Assisti 4)... Liverpool wana staa mikononi mwao na hakuna mahala bora kuwa kama kwenye mikono salama ya Jurgen Klopp.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live