Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kumbe alionywa lakini hakusikia

Van Gaal X Ten Hag Kumbe alionywa lakini hakusikia

Thu, 14 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kuonekana timu inafanya vibaya huku kukiwa hakuonekani suluhisho la haraka.

Kocha wa zamani wa Man United Mdachi Luis Van Gaal ametoa maoni yake kuhusiana na mwenendo wa Klabu hiyo kwa sasa huku akimkingia kifua Kocha Erik Ten Hag.

Van Gaal anasema;

"Erik ten Hag ni kocha mzuri, lakini nafikiri alipaswa kwenda kwenye klabu ya Mpira.

Kwenda Manchester United ni chaguo gumu kwake kwa sababu Manchester United ni klabu ya kibiashara.''

Chanzo: www.tanzaniaweb.live