Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#KuelekeaDERBYDay: Sasii akamata kipenga pambano la watani

OKWI NA SASII 1 Heri Sasii akiwa na Emmanuel Okwi

Tue, 7 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwamuzi kutoka Tanzania, Heri Sasii, ndiye atakayepuliza kipyenga katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara baina ya watani wa jadi, Simba na Yanga Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Taarifa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu TFF hii hapa chini inayoonesha waamuzi na maofisa watakaosimamia mchezo huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live