Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kroos na heshima yake Hispania na Ujerumani

Kroos 24 Facebook Kroos na heshima yake Hispania na Ujerumani

Mon, 27 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwaka 2013, Toni Kroos Kwa mara ya kwanza alitwaa taji la UEFA Champions League dhidi ya Borussia Dortmund ambapo fainali hiyo ilipigwa katika dimba Wembley, Uingereza.

Mwaka huu 2024, Toni Kroos anarudi tena katika dimba la Wembley ikiwa ni fainali yake ya Mwisho UEFA Champions League dhidi ya wale wale Borussia Dortmund.

Kroos ametangaza kuachana na Masuala ya Soka la Kulipwa mara baada ya Kutamatika kwa Fainali hiyo

Mwamba alifungua Makombe ya UEFA kwa Borrusia Dortmund.

JE atafanikiwa kuweka historia ya pekee?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live