Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kroos, Modric na Carvajal wafikisha mataji 6 ya UEFA

ND CHAMPIONS FINAL BORUSSIA RM COPA CAPITANES AV16559 Kroos, Modric na Carvajal wafikisha mataji 6 ya UEFA

Sun, 2 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Usiku wa jana tumeshuhudia Real Madrid wakibeba ubingwa wao wa 15 wa UEFA Champions League na kuendelea kuwa Klabu kinara kwenye mashindano hayo makubwa barani Ulaya, lakini ubingwa huo umekuja na rekodi kadhaa kwa baadhi ya wachezaji

Viungo Toni Kroos ,Luka Modrick na mlimzi Dani Calvajal wameongezeka na kufanya idadi ya wachezaji waliowahi kushinda ubingwa wa UEFA mara sita kufikia watano.

Awali ni Nacho na Paco Gento pekee ndio ambao walibeba ubingwa huo mara sita

Mbali na relodi hiyo , mlinzi Dani Carvajal amekuwa beki wa kwanza kufunga kwenye fainali ya UEFA baada ya miaka nane kupita , Sergio Ramos ndio beki wa mwisho kufunga kwenye fainali mwaka 2014.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live