Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kramo kurejea Simba Januari mwakani

Aubin Kramo Nje Kramo kurejea Simba Januari mwakani

Tue, 28 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aubin Kramo kurejea uwanjani Januari mwakani kwa mujibu wa Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally.

Ahmed ameyasema hayo leo Novemba 28, 2023, alipokuwa akizungumzia ujio wa kocha wao mpya, Abdelhak Benchikha.

"Kramo amemaliza matibabu na mapumziko ya mwezi wa kwanza, anakwenda kwenye matibabu na mapumziko ya mwezi wa pili hivyo tumtegemee rasmi kurejea uwanjani Januari mwakani," alisema Ahmed.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live