Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kramo kufanyiwa upasuaji

Kramo Simbaaaaaa Kramo kufanyiwa upasuaji

Tue, 19 Sep 2023 Chanzo: Kramo kufanyiwa upasuaji

Kwa mujibu wa Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmedy Ally amesema kiungo wao raia wa Ivory Coast, Aubin Kramo ambaye aliumia katika mechi kirafiki dhidi ya Ngome FC wadaktari wapo kwenye hatua ya mwisho hili kufaham kama Kramo anatakiwa kutibiwa kwa kufanyiwa operation au kutibiwa kawaida.

Kramo anasumbuliwa na jeraha la goti ambalo kuanza kwa msimu huu aliumia na baadae kuumia kwenye mchezo wa kirafiki na Ngome mpaka sasa ajacheza mchezo wowote rasmi wa mashindano Tangu asajiliwe msimu huu.

“Tunasubiri majibu ya mwisho kutoka kwa madktari hili watuambie Aubin Kramo atafanyiwa operation au atatibiwa kwa kawaida hili kujue anaweza kuwa nje kwa muda gani kwaajili ya kutibia jeraha lake,” amesema Meneja wa habari na Mawasiliano Ahmed Ally.

Chanzo: Kramo kufanyiwa upasuaji
Related Articles: