Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kramo arejea Dar, kujiunga na kikosi cha Simba Zanzibar

Kramo Arejea Simba Kramo arejea Dar, kujiunga na kikosi cha Simba Zanzibar

Wed, 3 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mshambuliaji wa Simba SC raia wa Ivory Coast, Aubin Kramo Kouame amerejea rasmi Nchini Tanzania akitokea Nchini kwao alipokua akiuguza Jeraha lake la Goti baada ya kufanyiwa Upasuaji Nchini Tunisia,

Kiungo mshambuliaji wa Simba SC raia wa Ivory Coast, Aubin Kramo Kouame amerejea rasmi Nchini Tanzania akitokea Nchini kwao alipokua akiuguza Jeraha lake la Goti baada ya kufanyiwa Upasuaji Nchini Tunisia, Kramo ambae Majeraha yamekua kikwazo kwake kuonesha Uwezo wake tangu atue Simba atafanyiwa Vipimo na Matabibu wa Simba ili kujiridhisha kama amepona kabla ya kuungana na Timu Visiwani Zanzibar kwenye Kombe la Mapinduzi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live