Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kovacic, Man City mambo safi

Mteo Kovacic To City Kiungo wa Chelsea Mateo Kovacic

Fri, 9 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Chelsea Mateo Kovacic amefikia makubaliano ya masharti binafsi juu ya kujiunga na Manchester City.

Kiungo wa Chelsea Mateo Kovacic amefikia makubaliano ya masharti binafsi juu ya kujiunga na Manchester City. Kovacic (29) raia wa Croatia amebakisha mwaka mmoja kwenye mkataba wake ndani ya Chelsea huku miamba hiyo ya Stamford Bridge ikiwa haina kipingamizi juu ya kumpiga bei nyota huyo wa zamani wa Real Madrid.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live