Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Koulibaly nje wiki kadhaa, Chelsea wathibitisha

Kalidou Koulibaly Chelsea Leeds Premier League 08212022 1qq8lvqv5tyq6147pqgxj5o8ss Kalidou Koulibaly

Fri, 14 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Chelsea, Frank Lampard amesema mlinizi wake wa Kati Koulibaly atakuwa nje kwa muda wa wiki kadhaa kutokana na jeraha la misuli ya paja alilopata kwenye mchezo dhidi ya Real Madrid.

Katika mchezo huo Chelsea walikubali kichapo cha mabao 2-0 katika Uwanja wa Santiago Bernabeu.

Jeraha hili litamfanya kukosa mchezo wa ligi kuu dhidi Brighton kesho jumamosi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live