Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Koulibaly awapa maua yao Waitaliano

Kalidou Koulibaly Money Koulibaly awapa maua yao Waitaliano

Tue, 5 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa zamani wa Napoli, Chelsea na Timu ya Taifa ya Senegal ambae kwa sasa anakipiga katika Klabu ya Al Hilal ya Saudi Arabia Kalidou Koulibaly ameelezea tabia njema za Rai wa Italia wakati akicheza katika Ligi ya Serie A.

Akizungumza Koulibaly anasema;

"Nilipofika Napoli, nilikuwa mweusi lakini pia Muislamu. Na walikubali hilo. Walitupa chakula cha halali tunachotakiwa kupewa, lakini pia Mpishi alikuwa akiamka asubuhi na kutuandalia chakula kizuri wakati wa Ramadhani. Italy ni watu waelewa sana"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live