Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kombe la Dunia la Vilabu kuanza Disemba 22

FIFA Club World Cup 2023 Kombe la Dunia la Vilabu kuanza Disemba 22

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA limetangaza tarehe rasmi ya kuanza kwa mashindano ya FIFA CLUB WORLD CUP ambayo ni December 22 2023.

Mashindano hayo yatafanyika nchini Saudi Arabia yakihusisha timu kutoka mabara yote Duniani ambazo ni:

Al Ittihad (Saudi Arabia)

Auckland City (Australia)

Léon [Mexico]

Urawa Red Diamonds (Japan)

Fluminense (Brazil)

Al Ahly (Egypt)

Manchester City (England)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live