Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Komba Kuchezesha Mechi Ligi ya Mabingwa Afrika

Mwamuzi Kombaz Komba Kuchezesha Mechi Ligi ya Mabingwa Afrika

Fri, 28 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

MWAMUZI wa Tanzania Frank Komba ameteuliwa na CAF kuwa miongoni mwa Waamuzi watakaochezesha mchezo wa hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika Raja CA (Morocco) dhidi ya Amazulu (Afrika Kusini) utakaochezwa kwenye Uwanja wa Mohamed V Casablanca, Morocco Februari 12,2022.

MWAMUZI wa Tanzania Frank Komba ameteuliwa na CAF kuwa miongoni mwa Waamuzi watakaochezesha mchezo wa hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika Raja CA (Morocco) dhidi ya Amazulu (Afrika Kusini) utakaochezwa kwenye Uwanja wa Mohamed V Casablanca, Morocco Februari 12,2022. Komba yupo nchini Cameroon kwenye michuano ya Kombe la mataifa huru Afrika (AFCON).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live