Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kolo Muani agoma kufanya mazoezi akilazimisha Uhamisho

Randal Kolo Muani Brace Randal Kolo Muani

Wed, 30 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa klabu ya Eintracht Frankfurt Kolo Muani amegoma kufanya mazoezi na kikosi cha Frankfurt asubuhi ya Leo akishinikiza kuuzwa.

Mshambuliaji wa klabu ya Eintracht Frankfurt Kolo Muani amegoma kufanya mazoezi na kikosi cha Frankfurt asubuhi ya Leo akishinikiza kuuzwa. Jana kwenye vyombo vya habari vya Ujerumani Muani alieleza wazi kuwa anataka Kuhamia kwa matajiri wa Ufaransa PSG.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live