Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha yupo kazini, mtauona ubora wa Nzengeli Tanga

Ally Kamwe Monastir Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe

Sat, 5 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Afisa habari wa klabu ya Yanga Ali Shaban Kamwe amesema huu ni muda wa kumuacha Gamond kuandaa vitu vyake halafu wakifika Tanga itakuwa ndio muda wa wao kuzungumza kwa miguu yao.

Kamwe amesema kutokea pale atachukua kipaza na kuwaambia kuhusu Maxi Nzengeli mwenye ubora wa Mbappe.

Aidha Ali amesema Skudu Makudubela ni mtu hatari, masta Gamondi anaendelea na vitu vyake pale Avic Town na muda sahihi unakuja na muda sahihi ni pale Tanga.

Yanga itakuwa na mtihani wa kwanza msimu 2023/24 Mkoani Tanga Agosti 9 dhidi ya Azam FC mchezo wa mtoano Ngao ya Jamii.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: