Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha wa zamani Yanga apewa Timu ya Taifa Ufilipino

Tom Saintfiet Tt Tom Saintfiet

Thu, 21 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa zamani wa klab ya Yanga na timu ya taifa ya Gambia Tom Saintfiet ametangazwa kuwa kocha mkuu mpya wa Timu ya Taifa ya Ufilipino.

Kocha Mkuu wa zamani wa klab ya Yanga na timu ya taifa ya Gambia Tom Saintfiet ametangazwa kuwa kocha mkuu mpya wa Timu ya Taifa ya Ufilipino. Kocha huyo aliiongoza Gambia katika michuano ya AFCON iliyomalizika mwezi uliopita nchini Ivory Coast.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live