Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha wa Simba kutimkia Gor Mahia

Patrick Aussems FIFA.jpeg Patrick Aussems

Sat, 25 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Gor Mahia FC wamethibitisha kwamba aliyekuwa kocha wa AFC Leopards Patrick Aussems ametuma ombi la kufundisha klabu hiyo.

Kumbuka Gor Mahia Wawakilishi Kenya Katika mashindano ya CAF CHAMPIONS LEAGUE msimu ujao.

Aussems AMEWAHI KUIFUNDISHA SIMBA Kwa mafanikio makubwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live