Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha wa SC Villa apewa Timu ya Taifa Uganda

Morley Scaled.jpeg Morley Byekwaso Ochama

Thu, 5 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Morley Byekwaso Ochama ambaye ni Kocha msaidizi wa SC Villa ameteuliwa kuwa kocha wa muda wa timu ya taifa ya Uganda mpaka oktoba 31,2023 na hii ni baada ya Aliyekuwa kocha Mkuu wao raia wa Serbia Kufutwa kazi.

Morley Byekwaso Ochama ambaye ni Kocha msaidizi wa SC Villa ameteuliwa kuwa kocha wa muda wa timu ya taifa ya Uganda mpaka oktoba 31,2023 na hii ni baada ya Aliyekuwa kocha Mkuu wao raia wa Serbia Kufutwa kazi. Ochama atasaidiwa na Fred Muhumuza ambaye atakuwa kocha msaidizi wa kikosi hicho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live