Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha wa Liverpool apata mrithi Feyenoord

Uysvcuavc Kocha wa Liverpool apata mrithi Feyenoord

Wed, 12 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Feyenoord ya Uholanzi imemteua mkufunzi Brian Priske kuwa kocha mkuu klabuni hapo akichukua mikoba ya Arne Slot aliyetimkia Liverpool.

Klabu ya Feyenoord ya Uholanzi imemteua mkufunzi Brian Priske kuwa kocha mkuu klabuni hapo akichukua mikoba ya Arne Slot aliyetimkia Liverpool. Priske (47) raia wa Denmark ambaye amewahi kuinoa klabu ya Royal Antwerp ya Ubelgiji hivi karibuni alikuwa akiifundisha klabu ya Sparta Praha ambayo ameiongoza kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Jamhuri ya Czech mara mbili mfululizo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live