Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha wa Al Ahly atajwa Simba

Kocha Wa Al Ahly Atajwa Simba Kocha wa Al Ahly atajwa Simba

Tue, 6 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha aliyewahi kufanya kazi na Al Ahly ya Misri, Alexandre Santos anatajwa kuingia kwenye rada za Simba SC ili kuchukua nafasi ya Kocha Mkuu.

Kocha huyo anayefundisha Petro de Luanda mwenye umri wa miaka 46, anashikilia leseni ya UEFA Pro.

Kocha huyo anatajwa kuwa na uzoefu mkubwa na filabu vikubwa vya Afrika na nje ya Afrika miongoni mwa vilabu alivyovifanyia kazi ni pamoja na Al Ahly, FC Porto na Saudi Arabia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live