Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha mpya amzuia Van Dijk kuondoka Liverpool

Virgil Van Dijk Complains To The Referee Virgil Van Dijk

Mon, 6 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya klabu ya Liverpool kupitisha jina la Arne Slot, kocha wa sasa wa klabu ya Fayernood kuwa mrithi wa kocha wao Mkuu Jugen Klopp ambaye amethibitisha mapema mwaka huu kuwa ataondoka, beki kisiki wa timu hiyo Virjil Van Dijk amethibitisha kubaki Anfield.

Baada ya klabu ya Liverpool kupitisha jina la Arne Slot, kocha wa sasa wa klabu ya Fayernood kuwa mrithi wa kocha wao Mkuu Jugen Klopp ambaye amethibitisha mapema mwaka huu kuwa ataondoka, beki kisiki wa timu hiyo Virjil Van Dijk amethibitisha kubaki Anfield. Van Dijk ambaye awali alihitaji kujua kocha gani atakayevaa viatu vya Klopp ndiyo asaini kandarasi mpya, ameamua kuendelea kuwepo Liverpool baada ya kujua kuwa kocha ajaye ataendana naye na pia ni raia mwenzake kutoka Uholanzi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live