Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha mpya Simba afumua kikosi, aanza upya!

Kocha Mpya Siimba Kocha mpya Simba afumua kikosi, aanza upya!

Fri, 12 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Fadlu Davids Kocha Mkuu wa Simba ana kibarua cha kusuka upya kikosi hicho kuelekea msimu wa 2024/25 ambao unatarajiwa kuwa na ushindani kitaifa na kimataifa.

Simba kwenye Kombe la Shirikisho Afrika itasubiri mshindi wa mchezo kati ya Uhamisho dhidi ya Libya kwa kuwa haitaanzia hatua ya awali.

Ahmed Ally, Menejawa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema: “Kocha Fadlu anatambua kitu ambacho Wanasimba wanahitaji hivyo anasuka kikosi kazi kwa ajili ya kuleta ushindani akishirikiana na benchi zima la ufundi.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live