Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha mpya Liverpool aanza na kichapo

Arne Slot First Game Kocha mpya Liverpool aanza na kichapo

Sat, 20 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mpya wa Liverpool, Arne Slot ameanza na kichapo mchezo wa kwanza wa kirafiki dhidi ya Preston North End inayoshiriki Ligi Daraja la kwanza Uingereza kwa bao 1-0.

Kocha mpya wa Liverpool, Arne Slot ameanza na kichapo mchezo wa kwanza wa kirafiki dhidi ya Preston North End inayoshiriki Ligi Daraja la kwanza Uingereza kwa bao 1-0. Slot amechukua rasmi mikoba ya kuinoa Liverpool tangu Juni Mosi, mwaka huu akitokea Feyenoord ya Uholanzi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live