Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha mpya Algeria apewa kibarua kizito

Kocha Algeria kocha Vladmir Petrovic

Fri, 1 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la Soka nchini Algeria limemteua [FAF] limemteua kocha Vladmir Petrovic kuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa hilo akichukua nafasi ya Djamel Belmadi aliyetimuliwa kazi mwezi Uliopita.

Shirikisho la Soka nchini Algeria limemteua [FAF] limemteua kocha Vladmir Petrovic kuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa hilo akichukua nafasi ya Djamel Belmadi aliyetimuliwa kazi mwezi Uliopita. Vladimir Petkovic atakuwa na kibarua cha kuisaidia timu hiyo kufuzu kwa michuano ya AFCON 2025 nchini Morocco na Kombe la Dunia la 2026 katika nchi za Mexico , Canada na Marekani

Chanzo: www.tanzaniaweb.live