Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha aliewakimbia Singida FG apata dili jipya

Ernest Middendorp Dfg Ernest Middendorp

Fri, 17 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa kocha wa klab ya Singida Fountain gate raia wa Unerumani Ernest Middendorp, amejiunga na klabu ya Cape Town Spurs ya nchini Afrika ya Kusini.

Aliyekuwa kocha wa klab ya Singida Fountain gate raia wa Unerumani Ernest Middendorp, amejiunga na klabu ya Cape Town Spurs ya nchini Afrika ya Kusini. Ernest Middendorp alivunja Mkataba na Singida siku chache tangu alipotangazwa kukikoa kikosi hicho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live