Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha alietimuliwa Hipania apewa ulaji Morocco

Skysports Jorge Vilda Spain 6275506 Jorge Vilda

Mon, 16 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la soka nchini Morocco limemteua Jorge Vilda kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya wanawake ya Morocco.

Shirikisho la soka nchini Morocco limemteua Jorge Vilda kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya wanawake ya Morocco. Jorge Vilda alishinda Kombe la Dunia la wanawake akiwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Hispania 2023 kabla ya kuoneshwa mlango wa kutokea miezi michache iliyopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live