Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha afunguka sababu ya kutompanga Onana

Andre Onana Ndege Andre Onana

Sun, 28 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mechi ya tatu hatua ya makundi,Kocha wa timu ya Taifa ya Cameroon Rigobert Song alianza bila Andre Onana golini.

Jambo hilo likatafsiriwa kuwa hajaanza nae kwa sababu alifungwa magoli matatu kwenye mechi dhidi ya Senegal.

Song amesema sababu za kuacha kumpanga Onana mechi ya mwisho hatua ya makundi ni upana wa kikosi na sio kucheza chini ya kiwango.

“Cameroon ni Taifa lenye makipa wengi bora na wote wana vipaji ,sina tatizo na golikipa yoyote. Kikosi changu kina wachezaji 27 na wote wapo tayari kulitumikia Taifa.“

Chanzo: www.tanzaniaweb.live