Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Wydad: Mamelodi wamebeba Ubingwa kwa kupoteza muda

Adil Ramzi Wydad Kocha mkuu wa kikosi cha Wydad AC Adil Ramzi

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mkuu wa kikosi cha Wydad AC Adil Ramzi anaamini kuwa Mamelodi Sundowns waalifanikiwa zaidi kwenye eneo la kupoteza muda.

Kocha mkuu wa kikosi cha Wydad AC Adil Ramzi anaamini kuwa Mamelodi Sundowns waalifanikiwa zaidi kwenye eneo la kupoteza muda. Adili anaamini uzoefu walioupata Mamelodi Sundowns wakati wakishiriki michuano mikubwa Barani Afrika ndio iliyowafanya watumie mbinu nyingi za kupoteza muda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live