Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Wolves: Meneja wa VAR ameniomba radhi

Skysports Gary Oneil Football 6251318 Gary O'Neil

Tue, 15 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa Wolves Gary O'Neil akijibu mzozo wa VAR usiku wa leo katika mchezo wa Man United dhidi ya Wolves.

Meneja wa Wolves Gary O'Neil akijibu mzozo wa VAR usiku wa leo katika mchezo wa Man United dhidi ya Wolves. “Nimezungumza na Jon Moss na ameomba msamaha kwa kusema ilikuwa ni adhabu ya wazi,hakuamini kuwa refa hakutoa adhabu na VAR haikuingilia kati.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live