Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Ufaransa amtolea povu beki wa Arsenal

Deschamps X Saliba Kocha Ufaransa amtolea povu beki wa Arsenal

Tue, 26 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya mlinzi wa Arsenal Wiliam Saliba kukosekana katika kikosi cha timu ya taifa Ufaransa na watu kuhoji, kocha wa kikosi hicho Didier Deschamps ameibuka na kusema mlinzi huyo ni mchezaji wa kawaida tu.

Kauli hiyo ya Deschamps imezua gumzo kwenye Mitandao ya kijamii baada ya mlinzi huyo kukosekana katika pambano la Ufaransa dhidi ya Ujerumani.

“ Hakuna pengo lolote kukosekana kwa beki huyo ( Saliba). Ni mchezaji wa kawaida “ alisema Deschamps.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live