Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Taifa Stars alia na kadi nyekundu ya Novatus

Miroshi Novatus Kocha Taifa Stars alia na kadi nyekundu ya Novatus

Thu, 18 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Adel Amrouche amesikitishwa na kitendo cha beki wake Novatus Dismas kupewa kadi nyekundu isivyo halali.

Kocha ametoa kauli hiyo hapo jana mara baada ya kumalizika kwa mchezo kati ya Stars na Morocco na Stars kupoteza kwa 3-0.

"Kama nilivyosema kabla ya mchezo, sisi tunacheza mpira lakini kuna vitu vya ndani ya uwanja hatuwezi kuvidhibiti, kadi ya njano ya kwanza ilikuwa sawa kwa Nova lakini ya pili haikuwa halali, hata hivyo tumejifunza kupitia makosa yetu na tutarekebisha katika michezo miwili iliyobaki," alisema.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live