Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Taifa Stars: Tuna changamoto eneo la golikipa

Amrouche Pic Kocha Taifa Stars: Tuna changamoto eneo la golikipa

Mon, 16 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Adel Amrouche amesema, anahitaji mechi zaidi za kirafiki ili kuweza kukitengeneza kikosi chake.

Amrouche ametoa kauli hiyo jana mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki dhidi ya Sudan na kufanikiwa kupata sare ya 1-1.

"Tuna changamoto ya eneno la golikipa, tunahitaji magolikipa ambao watakuwa wanapata nafasi ya kucheza kwenye vilabu vikubwa," alisema Amrouche.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live