Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Stars afunguka hatma ya Job "Nikiamua kusema nitamuua"

Job X Morocco Kocha Stars afunguka hatma ya Dickson Job

Fri, 15 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Hemed Morocco amezungumza na juu ya hatma ya mchezaji Dickson Job.

"Mimi na Job tumezungumza yameisha salama waheshimu maamuzi ya Mwalimu, Nikiamua kusema hatumsaidii Job, Mimi nam-protect ni mchezaji mzuri, Watu wangeliacha kama lilivyo nikilitolea ufafanuzi nitamuua huyo. Nimeamua kumpumzisha kafanya makosa tumesameheana".

Msikilize Kocha Hemed Morocco akizungumza hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by Muziki Unaongea ???? (@efmtanzania)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live