Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Spurs aweka rekodi nzito Uwanja wa nyumbani

Skysports Tottenham Ange Postecoglou 6179668 Kocha Mkuu wa Tottenham Hotspur Ange Postecoglou

Mon, 18 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa Tottenham Hotspur Ange Postecoglou amefikisha michezo 50 bila kupoteza akiwa katika kiwanja cha nyumbani kwa miaka mitatu mfululizo, Kocha huyo mpya wa Spurs mara ya mwisho kupoteza mchezo alikuwa akikinoa kikosi cha klabu ya Yokohama F. Marinos ya Japan mnamo mwaka 2020.

Kocha Mkuu wa Tottenham Hotspur Ange Postecoglou amefikisha michezo 50 bila kupoteza akiwa katika kiwanja cha nyumbani kwa miaka mitatu mfululizo, Kocha huyo mpya wa Spurs mara ya mwisho kupoteza mchezo alikuwa akikinoa kikosi cha klabu ya Yokohama F. Marinos ya Japan mnamo mwaka 2020. Unadhani timu gani EPL inaweza kuvunja rekodi ya Mwamba Postecoglou pale Tottenham Hotspur Stadium...!!???

Chanzo: www.tanzaniaweb.live