Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Singida FG amvulia kofia Dadiel Michael

Gadiel Mks Kocha Singida FG amvulia kofia Dadiel Michael

Mon, 18 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa Singida Fountain Gate FC, Ernst Middendorp amesema kuwa, beki wake Gadiel Michael ameonyesha kiwango bora kwenye mchezo wao wa Kombe la shirikisho Afrika dhidi ya Modern Future FC ya Misri.

Mchezo huo uliopigwa jana Jumapili katika Dimba la Azam Complex, ambapo Singida FG iliibuka na ushindi wa bao 1-0.

"Kwangu miye Gadiel Michael ndiyo Man of the Match ametimiza majukumu niliyompa kwa asilimia 100% alikuwa anafika kwa wakati anakaba anapora mipira kwa wapinzani utadhan ni mzoefu katika nafasi aliyocheza," amesema Kocha wa Singida, Ernst.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live