Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Simba aweka wazi changamoto kuelekea mchezo dhidi ya Kagera(+Video)

Matola Kocha msaidizi wa Simba, Selemeni Matola

Fri, 17 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba inashuka dimbani kesho Disemba 18 kuvaana na Kagera Sugar, katika ,mchezo wa Ligi Kuu Bara kule Kaitaba.

Mchezo huo ni wa raundi ya tisa wa Ligi ya NBC.

Tazama video hapa chini umsikie kocha wa Simba Selemani Matola akizungumza kuelekea mchezo huo.

Kocha Matola amegusia maandalizi, hali ya wachezaji nk

Chanzo: www.tanzaniaweb.live