Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Simba apata Timu Ubelgiji

Image 11.png Kocha Simba apata Timu Ubelgiji

Sat, 15 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa zamani wa klabu ya Simba Sven Vandebroek amejiunga na klabu ya Zulte Waregem inayoshiriki Ligi daraja la kwanza nchini Belgium.

Kocha wa zamani wa klabu ya Simba Sven Vandebroek amejiunga na klabu ya Zulte Waregem inayoshiriki Ligi daraja la kwanza nchini Belgium. Ikumbukwe klabu hiyo inammiliki nyota wa kimataifa wa Tanzania Novatus Dismas Miroshi ambaye kwasasa yupo kwa mkopo kwenye klabu ya Shaktar Donetsk.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live