Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Simba akutana na vijana wake Tunisia

Kennedy X Mkude.jpeg Sven Vandebrook akiwa na Kennedy na Mkude

Sat, 2 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa zamani wa Simba Sc Sven Vandenbroeck ambaye kwa sasa anaifundisha CR Belouizdad amekutana na vijana wake Jonas Mkude na Kennedy Juma ambao wapo kwenye majukumu ya timu ya Taifa ya Tanzania.

Kocha wa zamani wa Simba Sc Sven Vandenbroeck ambaye kwa sasa anaifundisha CR Belouizdad amekutana na vijana wake Jonas Mkude na Kennedy Juma ambao wapo kwenye majukumu ya timu ya Taifa ya Tanzania. Mkude kwa sasa anakipiga katika Klabu ya Yanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live