Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Senegal: Kukosa Ubingwa ni aibu kwetu

Aliou Cisse 1140x640 Aliou Cissé

Wed, 31 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliou Cissé ambaye ni Kocha wa timu ya Taifa ya Senegal amesema Taifa hilo kutolewa kwenye hatua ya 16 Bora AFCON kwao ni aibu kubwa kwani walishajiandaa kulibeba kombe hilo

Aliou Cissé ambaye ni Kocha wa timu ya Taifa ya Senegal amesema Taifa hilo kutolewa kwenye hatua ya 16 Bora AFCON kwao ni aibu kubwa kwani walishajiandaa kulibeba kombe hilo “Tumeumia sana kupoteza ,na hii ni kwa wachezaji na hata watu waliopo Senegal kwa sababu imani yetu ilikuwa kushinda hili taji ,kulikosa ni aibu kwetu” amesema Cissé

Chanzo: www.tanzaniaweb.live