Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Napoli atupiwa virago

Rudi Garcia Napoli Kocha wa klabu ya Napoli Rudi Garcia

Wed, 15 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Napoli imemfuta kazi mkufunzi Rudi Garcia (59) raia wa Ufaransa kama kocha mkuu klabuni hapo kufuatia mwenendo usioridhisha wa klabu hiyo ya Serie A.

Klabu ya Napoli imemfuta kazi mkufunzi Rudi Garcia (59) raia wa Ufaransa kama kocha mkuu klabuni hapo kufuatia mwenendo usioridhisha wa klabu hiyo ya Serie A. Kocha wa zamani wa Napoli, Inter Milan na Watford, Walter Mazzari (62) raia wa Italia ameteuliwa kuchukua mikoba ya Garcia akirejea klabuni hapo miaka 10 tangu alipoondoka mnamo Mei 20, 2013.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live