Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Napoli amjaza Vinicius

Madrid To Italy Kocha Napoli amjaza Vinicius

Mon, 2 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa hapo kesho Rudi Garcia (kocha wa Napoli) amesema kua "Vinicius Junior ni mchezaji bora zaidi.

Kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa hapo kesho Rudi Garcia (kocha wa Napoli) amesema kua "Vinicius Junior ni mchezaji bora zaidi. Licha ya umri wake mdogo, amedhamiria kutoa kilicho bora kila wakati. Lazima tuwe waangalifu naye ."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live