Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Nabi atoa kauli hii Yanga

Nabi Ratiba Kocha Nabi

Thu, 1 Dec 2022 Chanzo: Nipashe

Kocha wa Yanga baada ya kupoteza mchezo wake wa pili ligi kuu Tanzania bara tangu aajiriwe ndani ya Yanga amesema;

"Nawapongeza Ihefu kwa ushindi. Walikuwa bora uwanjani na nidhamu yao ilikuwa nzuri. Hatukucheza vizuri. Nidhamu yetu ya mchezo haikuwa nzuri na miili ya Wachezaji in FATIQUE Kubwa. Kuna wakati hata walikuwa wazito kukimbia"

"Ratiba imekuwa ngumu sana kiasi cha kuchosha Wachezaji. Tumecheza takribani michezo (8) ndani ya mwezi mmoja na tunasafiri sana. Muda mwingi ni mazoezi basics na si ya kujenga miili na mifumo kutokana na muda.

"Sometimes ni bora kupoteza mechi baada ya kutofungwa kwa muda mrefu ili kuirudisha akili katika mfumo wa upambanaji.

"Kutofungwa muda mrefu pia huchangia kuleta pressure. Ni vyema tumepoteza mechi bado mapema hivyo tutafanyia kazi makosa yetu na tutarudi upya uwanjani kwa kasi kubwa," amesema Nasreddine Nabi

Chanzo: Nipashe