Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Nabi anawapa somo huko Morocco

Kocha Nabi Msz Kocha Nabi anafanya maajabu Morocco

Wed, 29 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa Kocha wa Klabu ya Yanga Nasriddine Nabi ameendelea Kuwa Salama katika Kujihakikishia anashinda Ligi Kuu ya Morocco Botola Pro.

Fulltime :-

FAR Rabat 3-1 Jeunesse Sportive Soualem

⚽Naji - dakika 13'

⚽Ajaraie - dakika 45+2

⚽Zouhzouh - dakika 45+7.

Nasriddine Nabi ambaye analitetea taji kutoka kwa Miamba hiyo kwani Msimu wa 2022/23 Bingwa wa Botola Pro.

Kwa sasa Nasriddine Nabi Nafasi ya Kuweza Kushinda na Kuchukua Taji hilo katika Mchezo wa Mwisho.

01 Mechi 28 mabao 61 alama 67 - FAR Rabat

02 Mechi 28 mabao 48 alama 66 - Raja Casablanca

03 Mechi 28 mabao 35 alama 49 - RS Berkane

04 Mechi 28 mabao 32 alama 42 - FUS Rabat

05 Mechi 28 mabao 30 alama 41 - Wydad Casablanca

Uhenda ndiyo Msimu mbaya zaidi kwa Wydad Casablanca kwani licha yakuwa kikosi chao sio bora Kanuni zimewachagua Kushiriki Michuano ya Vilabu bora vya Dunia Inayofanyika Nchini Marekani Vuta Picha timu hii Inakutana Klabu kama Manchester City au Vilabu kutokea Brazil.

Tukirudi Bongo Kumekuwa na Mtazamo wa Nani Kocha Bora kwa Yanga Nasriddine Nabi na Miguel Gamondi .

2022/2023 Nasriddine Nabi

Bingwa Ligi Kuu

Bingwa FA

Bingwa Ngao ya Jamii

Fainali hirikisho CCC

2023/2024 Miguel Gamondi

Bingwa Ligi Kuu

Fainali FA (loading)

Robo Fainali CCL.

Takwimu za Kuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu Gamondi V Nasriddine Nabi.

Nasriddine Nabi - Miguel Gamondi

Alama 78 - 80

Magoli ya kufungwa 18 - 14

Magoli ya kufunga 61 - 71.

Nasriddine Nabi na Miguel Gamondi ni makocha wa kipee kuwahi kutokea na kufundisha Klabu ya Yanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live