Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Nabi: Ubingwa msimu huu ni wetu

Yanga Ngao Ya Jamii Kikosi cha Yanga

Fri, 13 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa Yanga, Nasredine Nabi amesema kuwa pamoja ya kuwa timu yake haikuwa na matokeo mazuri katika mechi 3 zilizopita ila yeye bado anaamini ubingwa msimu huu ni wao kwani yeye ana uzoefu mkubwa kwenye mambo hayo.

Kocha Mkuu wa Yanga, Nasredine Nabi amesema kuwa pamoja ya kuwa timu yake haikuwa na matokeo mazuri katika mechi 3 zilizopita ila yeye bado anaamini ubingwa msimu huu ni wao kwani yeye ana uzoefu mkubwa kwenye mambo hayo. Kocha Nabi amesema; “Bado tuna nafasi kubwa ya kuchukua ubingwa msimu huu, nina uzoefu mkubwa na unapotaka ubingwa lazima ujifikirie wewe mwenyewe na siyo timu unayoshindana nayo…”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live