Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Mtibwa Sugar akiri mambo magumu

Habib Kondo Mtibwa Kocha Mtibwa Sugar akiri mambo magumu

Sat, 26 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkuu wa benchi la ufundi la Mtibwa Sugar, Habib Kondo amefunguka wazi wanafanya maandalizi mazuri zaidi kwa kuwa msimu huu wa Ligi Kuu Bara ni mgumu.

Hadi sasa Mtibwa wamekusanya alama moja pekee katika michezo miwili ambayo wameshuka dimbani dhidi ya Simba SC ambao walipoteza kwa mabao 4-2 na ule dhidi ya Coastal Union ambao walitoka sare ya bao 1-1.

Kondo amesema: “Ligi ni ngumu kwani kila timu inapambana kufanya vizuri ukizingatia kila wakati kunakuwa na mabadiliko nasi ambacho tunakifanya ni kuwa tayari kwa mechi zetu.

Mchezo wa kwanza tulipoteza tukiwa nyumbani na malengo ilikuwa ni kushinda kwa kilichotokea tunafanya maandalizi kwa mechi zote zinazokuja tupo tayari kwa ajili ya ushindani.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live