Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Morocco: Tunawaheshimu Stars

Walid Regragui Kocha Wa Timu Ya Taifa Ya Morocco Walid Regragui Kocha wa timu ya taifa ya Morocco

Tue, 21 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Timu ya Taifa ya Tanzania ya Tanzania "Taifa Stars" ikijiandaa kuijabili Morocco leo Novemba 21 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar.

Kocha Mkuu wa Timu ya Morocco Walid Regragui amesema wanaingia kwatika mchezo huo wakiwa na tahadhari kubwa huku wakijaribu kumuheshimu mpinzani.

Akizungumza Walid Regragui anasema;

“Hatuoni Tanzania kama timu duni, Tunaiheshimu sana Tanzania, tunajua kwamba wana overmotivated, Ni mechi ya mwaka kwao,”

“Wanacheza mbele ya mashabiki wao wa nyumbani na kwa ushindi dhidi ya Niger watajiamini Lakini kwetu sisi, tunachukua shindano hili kama mashindano madogo na tutalazimika kumaliza kwanza. Ni mbio za marathon kufuzu na tutaheshimu timu zote.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live