Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Mkongwe Carlo Ancelotti awakosoa makocha kizazi kipya

Kocha Mkongwe Carlo Ancelotti Awakosoa Makocha Kizazi Kipya Kocha Mkongwe Carlo Ancelotti awakosoa makocha kizazi kipya

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mkongwe wa ‘klabu’ ya Real Madrid, Carlo Ancelotti amedai kuwa ‘makocha’ wa kizazi kipya wanafanya makosa kwa wachezaji wao kwenye utoaji wa maelekezo.

Carlo huyo ambaye ni mshindi mara nne wa ‘ligi’ ya mabingwa Ulaya amebainisha kuwa kumpa mchezaji maelekezo mengi pindi awapo na mpira uwanjani ni kumuondolea ubunifu.

Hata hivyo, ameeleza kuwa kumpa mchezaji maelekezo kuhusu nafasi awapo uwanjani akiwa hana mpira ni jambo zuri maana hapo lazima utoe maelekezo ya kutosha kwa sababu akiwa hana mpira kinachozingatiwa ni umakini, kujitolea na kucheza kwa umoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live